Aminia Lyrics by Nyashinski

Niko hapa kuwapa mziki mzuri wako hapa tu kuwa famous
Ama juu waliskia marraper hupendwa na madem, basi wanajiita lyricist hawawezi ita views, ni Mimi tu ndio nimetoa lyrics video ikahit a million views
Eti Nyash hii area si ulikam na ubaya
Iko watu husema heri ata ungekuhamia ulaya
Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa waretire
Secular lakini unaandika gospel fire
Si live a lie, najua ntasound nikaa Niko madre
But juzi walai nilipanda matatu na Trey
Na siuzi mayai, nimetoka mbali I say na siishi rongai
True story
Klepto si mtarudiana lakini hatujawai achana, tunarudiana kwanini
Na majaliwa inshalah mi nahawa vijana wawili tutazidi sana kando na kukosana niamini
Tuspiane akili mi nina kichaa
Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndio teacher
Enyewe manze wataacha lini, kujichocha
Juu ni clear tukismama ao na mi ni mi mnapreffer
Aminia oh nananana na na na na *5
Aminia Ah ah ah ah ah aie. *3
Kuna tenje yangu flani heri ibaki mteja tu
Au nkitoka niiachange kwa keja tu
Najua ikilia ni mtu anataka favour tu
Kila conversation ni ka deja vu
Maisha imejaa na watu fake si uongo
Na visu za kunidunga nikiwageuzia mgongo
Washasense nitakafunga so wananyemelea
Siwezi afford kumwaga unga najitegemea
Sieki imani kwa binadamu Mimi
Naweka imani kwa God si kwa sanaa Mimi
Kaa sikupendi sikufichi, no pretending ata simu zenyu mi sishiki
Nikue pissed kwa nini, siko pissed niamini
Mi Niko bied nago through vitu real ka nyinyi
Mimi pia maybe tu argue beats au beer
Hatuwezi argue ati iko rapper anatoa hits kama mimi
Aminia oh nananana na na na na *5
Aminia Ah ah ah ah ah aie. *3


Philosophy yangu ni don't worry chema chajiuza
Sijiweki na Don Larry ama martin Luther
Nani Huyo CNN wanainterview, sio mimi
Nikianza hii kitu ni watu wafew waliamini
Nabii hakosi heshima isipokua kwa nchi yake
Kwa jamaaa zake, na nyumbani mwake
Nabii hakosi heshima isipokua kwa nchi yake
Kwa jamaaa zake, na nyumbani mwake
Hii ni ya kila mtu nishawai uliza ka anapenda rap akaniambia ako 50/50
Kila mtu anaconsider kuingia hii biz ya mziki
But ameambiwa ati mziki hailipi
Kukua hapa  jua ni passion but si kazi ata
Ka we ni rapper juu ni fashion hatukutaki apa
Ni kaa msanii ... Alianza na guitar anaimba for free na ataendelea atakua anajua ata ajalipwa
Hii ni ya mtoi yoyote ako na dream, siku moja jua ni wewe wataita king
Jione umepanda stage na umeshika
Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika.
Sichoki sichoki sichoki
Style nyingi kushinda menu ya kinyozi
Naweza try wengine hawatoshi
Aminia aminia aminia
Ah ah ah ah ah aiye aminia*4
Wuue, I had the hardest time writing lyrics for this song, if you find a lyrical mistake, comment below. Or tweet me @n_Crique


AFRIMA AWARDS-Vote for Gilad, Dan Aceda, Octopizzo and Sauti Sol Herehttps://www.afrima.org/AFRIMAVOTING/home?mcat=Continental%20Category&scat=Artiste%20Of%20%20the%20year

Comments

Popular posts from this blog

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics

Sema Milele Lyrics by Gilad